Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Habari
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Portuguese Português
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Iran
  • Mashariki ya Kati
  • Afrika
  • Picha
  • Iran na Afrika
  • Products

Ramadhani

  • Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani

    Misri yafungua kivuko cha Rafah kwa ajili ya Ramadhani

    May 19, 2018 04:14

    Misri imefungua tena kivuko cha Rafah, njia pekee inayotumiwa kufikishia misaada ya dharura kwa Wapalestina karibu milioni mbili walio chini ya mzingiro huko Ukanda Gaza tangu mwaka 2007 na kusema kuwa eneo hilo la mpakani litasalia wazi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ukombozi usioepukika wa Palestina, kushindwa kusikokwepeka kwa Marekani + Picha

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Ukombozi usioepukika wa Palestina, kushindwa kusikokwepeka kwa Marekani + Picha

    May 18, 2018 18:24

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, Baytul Muqaddas ndio mji mkuu wa Palestina na kwa taufiki na uwezo wa Mwenyezi Mungu Palestina itakombolewa tu kutoka katika makucha ya maadui na kwamba Marekani na vitimbakwiri vyake hawawezi kufanya upuuzi wowote mbele ya uhakika na sunna hiyo ya Mwenyezi Mungu.

  • Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti

    Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti

    May 18, 2018 18:17

    Kama kamawaida, wiki hii pia iliyosadifiana na kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani imesheheni matukio ya kila namna ya Kiislamu duniani ukiwemo ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Harith Subeit na baadhi ya matukio hayo...

  • Waislamu Uganda watakiwa kutumia vyema nyakati za Ramadhani + Sauti

    Waislamu Uganda watakiwa kutumia vyema nyakati za Ramadhani + Sauti

    May 18, 2018 18:14

    Waislamu nchini Uganda na duniani kiujumla wamehimizwa kujiweka mbali na mambo yanayomkasirisha Mwenyezi Mungu na kutumia vizuri nyakati muhimu za mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametuandalia ripoti ifuatayo.

  • Kiongozi Muadhamu: Kukombolewa Palestina ni kanuni ya Allah ambayo Marekani haiwezi kukabiliana nayo

    Kiongozi Muadhamu: Kukombolewa Palestina ni kanuni ya Allah ambayo Marekani haiwezi kukabiliana nayo

    May 18, 2018 04:27

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, moja ya mahitaji muhimu na ya lazima ya umma wa Kiislamu hii leo, ni udharura wa kushikamana na Qur'an Tukufu na kuifanyia kazi.

  • Waislamu Zanzibar kuungana na Waislamu wengine kesho Alkhamisi katika saumu ya Ramadhani + Sauti

    Waislamu Zanzibar kuungana na Waislamu wengine kesho Alkhamisi katika saumu ya Ramadhani + Sauti

    May 16, 2018 18:32

    Waislamu visiwani Zanzibar kesho Alkhamisi tarehe 17 Mei 2018 wataungana na Waislamu wengine duniani kuanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa mwaka huu wa 1439 Hijria. Harith Subeit ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo

  • Ramadhani, mwezi wa ibada na toba

    Ramadhani, mwezi wa ibada na toba

    May 30, 2017 08:51

    Bismillahir Rahmanir Rahim Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyokundalieni kwa mnasaba wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atutakabalie saumu na ibada zetu katika mwezi huu mtukufu.

  • Dua ya siku ya thelathini ya Ramadhani

    Dua ya siku ya thelathini ya Ramadhani

    Jun 18, 2016 12:19

    Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya thelathini ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Dua ya siku ya ishirini na tisa ya Ramadhani

    Dua ya siku ya ishirini na tisa ya Ramadhani

    Jun 18, 2016 12:17

    Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya ishirini na tisa ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

  • Dua ya siku ya ishirini na nane ya Ramadhani

    Dua ya siku ya ishirini na nane ya Ramadhani

    Jun 18, 2016 12:16

    Gonga katika picha kusikiliza dua ya siku ya ishirini na nane ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

Onesha Zaidi
Pars Today

© 20167 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Iran
    Mashariki ya Kati
    Afrika
    Picha
    Iran na Afrika
    Products
Radio
    Vipindi
    Hifadhi
    Darsa ya Qur'ani
    Frikwensi
    Tovuti Kongwe
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS