-
Wanasiasa wa upinzani Somalia waakhirisha maandamano dhidi ya serikali
Feb 26, 2021 12:50Wanasiasa wa upinzani nchini Somalia wameakhirisha maandamano yao waliyokuwa wamepanga kufanya leo Ijumaa baada ya Waziri Mkuu kuingilia kati.
-
Magaidi 15 wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia
Feb 26, 2021 03:29Wanamgambo 15 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Somalia kusini mwa nchi.
-
Serikali ya Somalia yapiga marufuku maandamano ya wapinzani
Feb 24, 2021 08:17Serikali ya Somalia imetangaza kupiga marufuku maandamano ya wapinzani katika mji mkuu Mogadishu kutokana na ongezeko la maambukizi ya ya corona na tishio la usalama.
-
Magaidi 52 wa Ash-Shabaab waangamizwa kusini mwa Somalia
Feb 22, 2021 02:56Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Somalia ametangaza kuwa, wanamgambo 52 wa kundi la kigaidi la Ash-Shabaab wakiwemo vinara wawili wa kundi hilo wameuawa kusini mwa nchi hiyo.
-
Serikali ya Somalia yaikosoa Imarati kwa kuwaunga mkono wapinzani wa Kisomali
Feb 21, 2021 15:16Serikali ya Somalia imeikosoa Imarati kutokana na kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Mogadishu.
-
Milio mikubwa ya risasi na miripuko yatokea mji mkuu wa Somalia katika maandamano ya wapinzani
Feb 19, 2021 14:06Milio mikubwa ya risasi na miripuko imezuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu wakati vikosi vya usalama vilipopambana na waandamanaji wenye hasira kutokana na kucheleweshwa uchaguzi. Hayo ni kwa mujibu wa mashuhuda, serikali na viongozi wa upinzani.
-
Mlipuko mwingine wautikisa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu; watu kadhaa wauawa
Feb 13, 2021 12:01Kwa akali watu watatu wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.
-
Rais wa Somalia aitisha mkutano mwingine kuondoa mkwamo wa kisiasa
Feb 10, 2021 13:42Rais Mohamed Abdullahi Farmajo wa Somalia ametoa mwito wa kufanyika kwa raundi mpya ya mazungumzo ya majadiliano tarehe 15 mwezi huu ili kusaidia kuondoa mkwamo wa mchakato wa uchaguzi.
-
Maajenti 12 wa usalama wauawa katika shambulio la bomu Somalia
Feb 08, 2021 12:11Mkuu wa Idara ya Intelijensia ya Somalia pamoja na maajenti 11 wa kitengo hicho cha usalama wameuawa katika mripuko wa bomu la kutegwa kando ya barabara katika jimbo la Galmudug, katikati ya nchi.
-
Rais wa Somalia: Nchi za kigeni zinavuruga mchakato wa uchaguzi nchini
Feb 07, 2021 07:31Rais Muhammed Abdullahi Farmajo wa Somalia amesema uingiliaji wa madola ajinabi katika mambo ya ndani ya nchi hiyo ndiyo sababu kuu ya kugonga mwamba mazungumzo ya kujaribu kuupatia ufumbuzi mkwamo wa uchaguzi katika nchi hiyo.