-
Taliban yaitaka Marekani iachie fedha za Afghanistan baada ya tetemeko la ardhi lililoua 950
Jun 24, 2022 01:17Kufuatia tetemeko la ardhi lililoua mamia ya watu nchini Afghanistan, serikali ya Taliban nchini humo imeitaka Marekani iachie mabilioni ya dola za Waafghani inazozuilia.
-
Taliban kuanzisha skuli za Jihadi na kuwafanya mashekhe wa Afghanistan wahadhiri katika vyuo vikuu
Jun 21, 2022 13:36Kiongozi Mkuu wa Taliban Mulla Haibatullah Akhunzadah ametoa agizo la kuanzishwa skuli za jihadi na kuwafanya mashekhe wa kila eneo wahadhiri wa mitaala itakayopitishwa kwa ajili ya vyuo vikuu vya eneo hilo.
-
Taliban: Skuli za wasichana zimefunguliwa katika mikoa 10 ya Afghanistan
May 29, 2022 12:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya serikali ya muda ya Taliban Afghanistan amesema, skuli za wasichana katika ngazi zote zimefunguliwa katika mikoa kumi ya nchi hiyo.
-
Watangazaji wanawake Afghanistan wafunika nyuso baada ya kukaidi agizo la Taliban kwa siku moja
May 23, 2022 03:44Watangazaji wanawake wa televisheni nchini Afghanistan wameridhia kutangaza wakiwa wamefunika nyuso zao kulingana na agizo lililotolewa na serikali ya Taliban, baada ya kukaidi kufanya hivyo kwa muda wa siku moja.
-
Taliban: Watangazaji wanawake wanapotangaza katika televisheni wafunike nyuso zao
May 20, 2022 07:43Serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan imetoa amri kwa watangazaji wanawake wanaofanya kazi katika chaneli za televisheni za nchi hiyo wafunike sura zao wakati wanapotangaza.
-
Kiongozi wa Taliban atoa agizo jipya kuhusu Hijabu kwa wanawake wa Afghanistan
May 08, 2022 12:16Kiongozi Mkuu wa Taliban nchini Afghanistan Haibatullah Akhunzada ametoa agizo lenye vipengee vinne la sheria mpya kuhusu mipaka ya vazi la Hijabu kwa wanawake wa nchi hiyo.
-
Misimamo ya Taliban mkabala wa mlipuko wa kigaidi huko Kabul
May 01, 2022 14:31Msemaji wa serikali ya Taliban amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti mmoja katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul siku ya Ijumaa iliyopita. Kundi la Taliban limelitaja shambulizi hilo ambalo liliua na kujeruhi makumi ya waumini, kuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu.
-
Iran: Tuko tayari kuisaidia Afghanistan kulima mazao ya chakula badala ya mihadarati
Apr 06, 2022 02:51Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afghanistan umesema kuwa, Tehran iko tayari kuisaidia Afghanistan kulima mazao ya chakula badala ya mmea wa mpopi unaozalisha mihadarati na madawa haramu ya kulevya.
-
Taliban yapiga marufuku uzalishaji wa mihadarati nchini Afghanistan
Apr 04, 2022 02:34Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepasisha sheria ya kupiga marufuku kilimo cha mipopi na uzalishaji wa aina nyingine zote za dawa za kulevya.
-
Taliban yatangaza mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana Afghanistan
Mar 26, 2022 02:24Msemaji wa wizara ya elimu ya serikali ya Taliban nchini Afghanistan ametangaza kuwa, mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana kuanzia darasa la saba umekabidhiwa kwa rais wa serikali ya nchi hiyo.