-
Shirika la Emirates lamfuta kazi rubani Mtunisia aliyekataa kurusha ndege kuelekea Israel
Jan 13, 2021 14:31Shirika la Ndege la Umoja wa Falme za Kiarabu, Emirates Airline, limemfuta kazi rubani wake mmoja raia wa Tunisia ambaye alikataa amri ya kurusha ndege kuelekea Israel.
-
Watalii kutoka Israel waingiza kimagendo madawa ya kulevya nchini Imarati
Jan 03, 2021 13:29Baadhi ya vyombo vya habari vya Kiebrania vimetangaza kuwa, watalii kutoka Israel wanaoelekea Umoja wa Falme za Kiarabu wanaingiza kimagendo madawa ya kulevya katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Dubai imegeuzwa kitovu cha maovu na ufuska kwa ajili ya watalii kutoka Israel
Dec 22, 2020 13:02Duru za habari za lugha ya Kiebrania zimeripoti kuwa, Dubai imegeuzwa mji wa kufanyia maovu na ufuska na kuwafanya wazayuni wawe na hamu kubwa ya kuutembelea.
-
Mapatano ya Riyadh yagonga mwamba; vita vya mafuta kati ya Saudia na Imarati vimeanza huko Yemen
Dec 18, 2020 06:01Gazeti moja linalochapishwa kwa lugha ya Kiarabu limeripoti juu ya kuendelea kugonga mwamba mapatano yaliyofikiwa na Riyadh huko Yemen na kuibuka hitilafu kali kati ya nchi hiyo na Imarati kuhusu umiliki wa mafuta nchini humo.
-
Televisheni nyingine ya Israel nayo yaifanyia istihzai na kejeli Imarati
Nov 27, 2020 06:52Kanali moja ya televisheni ya utawala wa Kizayuni imerusha hewani mchezo wa kuigiza wa vichekesho ambao unaukejeli na kuufanyia istihzai Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati.
-
Sheria za Kiislamu zawekwa kando UAE baada ya kuanzishwa uhusiano na Israel
Nov 08, 2020 02:36Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), umetangaza mabadiliko makubwa ya sheria za Kiislamu zinazohusu mtu binafsi ikiwemo kuruhusu watu ambao hawajaoana kuishi pamoja kiunyumba, kulegeza mipaka ya utumiaji pombe na kuyatambua "mauaji ya kulinda heshima" kuwa ni kosa la jinai.
-
Ripoti: Wanawake na watoto zaidi ya elfu 13 wa Yemen ni wahanga wa mashambulizi ya Saudia
Oct 12, 2020 03:07Taasisi moja ya kutetea haki za binadamu nchini Yemen imetangaza kuwa wanawake na watoto zaidi ya elfu 13 wa Kiyemeni wameuawa katika mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia nchini humo.
-
Amir-Abdollahian: Israel inapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia
Oct 02, 2020 08:07Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: Utawala wa Kizayuni unapanga njama ya kuigawanya vipande vipande Saudi Arabia.
-
Walebanon waandamana dhidi ya hatua ya Imarati na Bahrain ya kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 24, 2020 11:59Maelfu ya wananchi wa Lebanon wameandamana katika mji mkuu Beirut na kutangaza upinzani wao dhidi ya hatua yoyote ile ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Bin Zayed aishauri Pentagon ikihamishie Imarati kituo cha kijeshi cha Incirlik kilichoko Uturuki
Sep 21, 2020 03:16Baadhi ya duru zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Abu Dhabi Mohammad bin Zayed amefanya mashauriano na Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon juu ya mpango wa kukihamishia Imarati kituo cha anga cha jeshi la Marekani cha Incirlik kilichoko nchini Uturuki.