-
Mamlaka ya Ndani ya Palestina yaionya Israel kwa hujuma zake dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
May 20, 2022 01:21Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeonya kuhusiana na matokeo mabaya ya vitendo vya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel vya kufanya hujuma na uvamizi dhidi ya msikiti wa al-Aqswa na kambi ya wakimbizi ya Jenin.
-
Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ayataka mataifa ya dunia yaisusie Israel
May 17, 2022 02:32Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameyataka mataifa yote ya dunia kupasisha miswaada ya kuususia utawala ghasibu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Jumanne tarehe 17 Mei mwaka 2022
May 17, 2022 02:29Leo ni Jumanne tarehe 15 Shawwal 1443 Hijria sawa na Mei 17 mwaka 2022.
-
Miaka 74 baada ya Siku ya Nakba
May 16, 2022 10:53Miaka 74 iliyopita, utawala haramu na bandia wa Kizayuni wa Israel ulitangaza uwepo wake baada ya kufanya jinai kadhaa za kinyama dhidi ya Wapalestina.
-
Jumamosi, 14 Mei, 2022
May 14, 2022 02:14Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Mosi Shawwal 1443 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe 14 Mei 2022 Miladia.
-
Rasimu ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na Israeli yapitishwa katika bunge la Iraq
May 14, 2022 02:12Bunge la Iraq limeidhinisha rasimu ya sheria inayopiga marufuku kuanzisha au kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel. Rasimu hiyo inatoa adhabu ya kifo kwa mtu yeyote atakayepatikana na hatia ya kuhusika na uhalifu huo.
-
Mashirika 250 ya haki za binadamu yataka Israel ichukuliwe hatua kwa kumuua Shireen Abu Aqleh
May 13, 2022 09:50Mashirika na makundi 250 ya kutetea haki za binadamu yametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kisheria utawala haramu wa Israel kwa jinai uliyotenda ya kumuua mwandishi habari wa Televisheni ya al-Jazeera Shireen Abu Aqleh.
-
Ziyad al-Nakhalah: Adui Mzayuni anaelekea kuangamia
May 13, 2022 09:49Ziyad al-Nakhalah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesema kuuwa, adui Mzayuni anaelekea kuangamia.
-
Haniya: Njia mwandishi habari Mpalestina aliyeuawa shahidi itaendelea
May 11, 2022 13:05Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameulaani vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kumuua shahidi Shireen Abu Akleh mwandishi habari Mpalestina wa Kanali Al Jazeera.
-
Jordan: Masjidul-Aqswa ni mali ya Waislamu, Israel yatakiwa kutoitahini subira ya Waislamu bilioni 2
May 09, 2022 07:30Kamati ya Palestina katika Bunge la Jordan imesisitiza kuwa, Waislamu wana mamlaka mutlaki kwa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa ulioko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.