-
Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ayataka mataifa ya dunia yaisusie Israel
May 17, 2022 02:32Waziri Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameyataka mataifa yote ya dunia kupasisha miswaada ya kuususia utawala ghasibu wa Israel unaotenda jinai kila uchao dhidi ya wananchi wa Palestina.
-
Mivutano inayoongezeka katika uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel
May 04, 2022 02:33Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika kipindi kipya na cha wasiwasi na mivutano baada ya kuanza mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kuwa pamoja na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.
-
Al Kadhimi: Njama za adui katika mwezi mtukufu wa Ramadhani zimegonga mwamba
May 03, 2022 04:44Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, njama za adui za kutaka kuibua machafuko na ukosefu wa usalama katika miji ya Iraq katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani zimesambaratishwa na kufeli.
-
Al Kadhimi: Wapiganaji wa Daesh hawana chaguo isipokuwa kifo
Apr 23, 2022 11:29Waziri Mkuu wa Iraq amewambia magaidi wa Daesh (ISIS) kwamba wanasubiriwa na mashambulizi zaidi na mauaji ya kiongoi mpya wa kundi hilo.
-
Aliyependekezwa na mrengo wa Sadr atangaza utayari wa kuwa Waziri Mkuu wa Iraq
Mar 24, 2022 13:24Mwanasiasa aliyependekezwa na kuungwa mkono na Harakati ya Sadr kuwa Waziri Mkuu wa Iraq, ametangaza kuwa yuko tayari kushika wadhifa huo.
-
Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati
Mar 19, 2022 06:05Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mbaye alikuwa ziarani katika nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), amejaribu sana kuzishawishi nchi hizo mbili ziongeze kiwango chao cha uzalishaji mafuta, lakini amerejea London mikono mitupu.
-
Spika wa Bunge, Mawaziri Wakuu wa zamani wa Tunisia kupandishwa kizimbani
Jan 08, 2022 02:49Spika wa bunge lililovunjwa la Tunisia na Mawaziri Wakuu wa zamani wa nchi hiyo watafikishwa kizimbani kwa tuhuma za kukiuka sheria za kampeni za kisiasa na kutobainisha vyanzo vya fedha zao wakati wa kampeni za uchaguzi.
-
Kujiuzulu Waziri Mkuu Hamdok na kushitadi mgogoro wa kisiasa nchini Sudan
Jan 05, 2022 02:40Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye Jumapili usiku alitangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.
-
Hatimaye Waziri Mkuu wa Sudan atangaza rasmi kujiuzulu
Jan 03, 2022 07:44Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa Sudan ambaye hivi karibuni alitishia kujiuzulu, hatimaye ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo mbele ya waandishi wa habari.
-
Radiamali ya Taliban kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan
Dec 22, 2021 02:36Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban ametoa radiamali kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan akisema kuwa: Hakuna mtu atakayeruhusiwa kutumia ardhi ya Afghanistan dhidi ya mataifa mengine.