-
Kutokea mapinduzi baridi nchini Tunisia
Jul 28, 2021 01:37Katika hatua inayotathminiwa na wajuzi wa mambo kama mapinduzi baridi, Rais Kais Saied wa Tunisia amechukua hatua kadhaa kama kumfuta kazi Waziri Mkuu wa nchi hiyo Hichem Mechichi, kuvunja baraza la mawaziri, kusitisha shughuli za Bunge na kinga ya kisiasa ya Wabunge na kisha kudhibiti madaraka yote ya nchi.
-
Serikali ya Iraq yawatia mbaroni magaidi waliohusika na shambulio la umwagaji damu katika kiunga cha Sadr
Jul 25, 2021 02:58Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi amesema, vyombo vya usalama vimewagundua na kuwatia mbaroni watu waliohusika na shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye kitongoji cha Sadr katika mji mkuu wa nchi hiyo, Baghdad.
-
Mfalme wa Jordan aonana na waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni
Jul 09, 2021 12:38Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, mfalme wa Jordan ameonana na waziri mkuu wa Israel katika mji mkuu Amman.
-
Ehud Olmert: Kuna uwezekano wa kutokea Intifadha mpya ya Wapalestina
May 01, 2021 08:00Ehud Olmert, Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel ametahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea Intifadha mpya ya Wapalestina.
-
Waziri Mkuu wa Iraq asisitiza kufanyika uchaguzi kama ilivyopangwa
Mar 29, 2021 04:20Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa uchaguzi wa bunge nchini humo utafanyika kama ilivyopangwa yaani tarehe 10 mwezi Oktoba mwaka huu.
-
Waziri Mkuu wa Iraq atoa hotuba kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mashambulizi ya Halabcha
Mar 16, 2021 12:27Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa kuadhimisha kumbukumbu ya mashambulizi ya kemikali yaliyotekelezwa katika mji wa Halabcha katika eneo la Kurdistan huko Iraq kunakumbushia kuuliwa maelfu ya raia na watu wasio na hatia wa eneo hilo.
-
Waziri Mkuu wa Ivory Coast Hamed Bakayoko afariki kwa saratini akiwa na umri wa miaka 56
Mar 11, 2021 07:18Waziri Mkuu wa Ivory Coast Hamed Bakayoko amefariki dunia kwa maradhi ya saratani katika hospitali moja mjini Freiburg nchini Ujerumani alikokuwa akipatiwa matibabu.
-
Al Kadhimi asisitiza kulipiza kisasi kwa wahusika wa milipuko ya Baghdad
Jan 31, 2021 07:34Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kuwa, wale wote walioihusika katika kuwaua raia wasio na hatia katika milipuko ya karibuni katika maidani ya al Tayaran huko Baghdad mji mkuu wa nchi hiyo watalipizwa kisasi.
-
Yemen: Hakuna matumaini ya mabadiliko ya kimsingi katika siasa za Marekani
Jan 23, 2021 07:52Mshauri wa Waziri Mkuu wa Yemen amesema kuwa, rais mpya wa Marekani, Joe Biden si mwokozi wa eneo hili tofauti kabisa na propaganda zinazopigwa. Amesema, hakuna matumaini ya kuweko mabadiliko ya kimsingi katika siasa za Marekani na kamwe Biden hatofanya kinyume na marais waliomtangulia wa nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Magaidi wa Daesh (ISIS) wasubiri majibu makali ya jinai zao
Jan 22, 2021 11:51Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuwa, magaidi wa Daesh (ISIS) wasubiri majibu makali kutoka kwa wananchi na vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo na kusisitiza kwamba serikali yake itahakikisha mashambulizi mengine ya kigaidi hayatokei nchini humo.